Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 23,498
- 70,290
Picha ya Kutisha
Hahahaba fans wengi wa man city walikuwa Liverpool ..kipind kile msimu wa 2010/2011 mnaboronga ndo man city alikuwa anaibuka ibuka ..kwa iyo waka jimuvuzisha na kuja city..
Asante sana mkuu, naona Dua zako zimekubaliwa Sasa itabidi niiunge mkono man u tuPoleni wakuu, unbeaten imebaki moja tu kwenye ligi na ndo inaongoza ligi.
Mtatukuta game ya Man Utd most probably.
😂😂😂😂😂😂 Daah Aya bhana jirani¶¶¶¶Jirani jirani zangu nyie mmekosea wapi leo kila mnapopata mpira jirani mpira unawateleza sasa niwaeleweje jirani ee sasa mtafanye jirani ee,mimi na nyie ni kitu kimoja haina maana ooh haina maana kuchekana¶¶¶¶¶
Hatari Sana mkuuLeo naona wazee wa Sarri Ball wamewapiga wazee wa Pep Ball
Sterling kumuweka Kati alimnyima Uhuru kabisa ila alivyotoka pembeni aliuwasha Sana pia wakikutana huyu Sterling na Sane wanacheza kibishoo SanaTulicheza vizuri sana. Tulipata chances nyingi na tukazipiteza. Jamaa wapo vizuri sana hapo nyuma. Hatukuweza kufurukuta kwenye 18 yao. Nawapongeza sana. Kufungwa kwetu leo hakukuwa kwa bahati mbaya ila tulizidiwa kwenye kumalizia. Tulupata kona 10 maana yake ni kuwa tulijaribu sana ila walitubana. Jamaa ni warefu na mipira ya juu wanaijua.
Asante sana mkuu, naona Dua zako zimekubaliwa Sasa itabidi niiunge mkono man u tu
Naimani atanisaidia maana mkikutana na man hua wanakaza SanaJana Chelsea hawakuniangusha, ngoja tuone kama Man Utd atakusaidia.
Naimani atanisaidia maana mkikutana na man hua wanakaza Sana
Na ndio ninachokiona safar hii anaweza kula hata 4-0Mara nyingi game za Anfield anakuja kutafuta droo, msimu ulioisha pale OT alituwahi mbili za fasta kupitia kwa Rashford, mwaka huu tuna kikosi cha kudili na wapaki basi.
Akipaki na sisi tunapaki, halafu tunakuwa tunamtafuta kwa counter, nina imani na defense yetu mwaka huu.
All in all, tusubiri tuone itakuwaje.
Na ndio ninachokiona safar hii anaweza kula hata 4-0
Manaa mou anatumiaga udhaifu wa bek, sasa liver kama bek anayo,
Akipaki bas atakula nying, coz bek yake mbovu,
Na anfield mou hajawahi kwenda kucheza mpira ,zaid anaendaga kutafuta sare
Kwa beki hiyo na kukosa morar kwann asipigwe 4?Man Utd siyo timu ya ku-underrate kiasi cha kusema atapigwa 4 na Liverpool mkuu.
Mourinho hata kama timu ni mbovu lakini anaweza kushangaza watu, ndo maana hata Chelsea walinusurika.
Haha hahaaa...ukweli mtupu, ama kweli Jamii Forum haijawahi kuniacha mpweke nijapopitia comments za Watu mbali mbaliHahahaba fans wengi wa man city walikuwa Liverpool ..kipind kile msimu wa 2010/2011 mnaboronga ndo man city alikuwa anaibuka ibuka ..kwa iyo waka jimuvuzisha na kuja city..
Kwa beki hiyo na kukosa morar kwann asipigwe 4?
Mbona alikula 3-0 kwa tot hapo OT?
UKIWA MBOVU utaadhibiwa tu, kwa liver hii, mou ajipange sana, utaniambia
Mkuu tena mara hii toka Washabiki halali wa Arsenal hadi Waharamiaji haramu?Hawa ni wahamiaji haramu kutoka Arsenal hawa
Haha hahaaa... Mwiba mchungu huo kwa Man City, kiukweli Washabiki wake watakuwa wameumizwa sana rohoni maana timu haina strikers, beki wazuri kama Alonso sababu ya kuchoka kwa kucheza sana muda mrefu bila kupumzika na Kocha ambaye hajawahi kumfunga Pep tangu akiwa Napol FC.Picha ya KutishaView attachment 960977
Kabisa nami nakuunga mkono kwa hiyo hoja yako Mkuu.
Umenichekesha mkuu, sema liverpool haijawahi kua na mashabiki wasaliti, hawa itakua wametoka arsenal
Kweli mkuu. Mpira hautabiriki. Pale huwezi laumu mchezaji wala kocha wa city maana walicheza vizuri tena kwa kiwango. Ila ndo hivyo tena mpira unadunda.Haha hahaaa... Mwiba mchungu huo kwa Man City, kiukweli Washabiki wake watakuwa wameumizwa sana rohoni maana timu haina strikers, beki wazuri kama Alonso sababu ya kuchoka kwa kucheza sana muda mrefu bila kupumzika na Kocha ambaye hajawahi kumfunga Pep tangu akiwa Napol FC.
Poleni sana Man City, hii ndiyo dunia, na mpira huwa hautabiriki kwa kukariri matokeo ya jana, leo ama kesho kama kinyonga vile anavyobadilika badilika kila sekunde.