wapenzi wa Man city ni wachache.Jaman hodi humu ndani...mana naona kimya king
Tupo mama...wapenzi wa Man city ni wachache.
dah sasa si unaona nyumba yako inadolora.Tupo mama...
Sema tunapenda kuzurura kwenye threads za wenzetu...
Kuna kipindi nilikua napost kila siku humu...
Sasa nikajikuta najiquote mwenyewe..!
Bora huu uzi ungeunganishwa na Man Utd tu...dah sasa si unaona nyumba yako inadolora.
hahaa...........asa siku timu zote zikikutana inakuwaje.Bora huu uzi ungeunganishwa na Man Utd tu...
Alafu ungeitwa Team Manchester...
Tunafarakana kwa muda...hahaa...........asa siku timu zote zikikutana inakuwaje.
ahaha dah afu tunasema Manchester kashinda.Tunafarakana kwa muda...
Mechi ikiisha tunapongezana na kupeana pole..!
ahaha dah afu tunasema Manchester kashinda.Tunafarakana kwa muda...
Mechi ikiisha tunapongezana na kupeana pole..!
Guardiola anajifunza heshima ya mpira wa miguu kupitia EPL.wapenzi wa Man city ni wachache.
my dada acha kuwapa matumainiPoleni jamani mweee!!! ..... ila mpira dakika 90 mnaweza mkafanya kitu.
Hahahhaha jamani kaka sasa unataka kumwambia mgonjwa live kwamba leo anakufa?my dada acha kuwapa matumaini