The Anfield
JF-Expert Member
- Dec 15, 2025
- 288
- 373
Oya dogo semenya umeuona mgoli wa dogo Yamal jana?Haaland kwisha kabisa.
Rajuun.
Hahahahahaaaaa nilionaOya dogo semenya umeuona mgoli wa dogo Yamal jana?
What a golazo.
Mwenzio Herzargo alichoka kujisemesha mwenyewe akaamua kuukimbia Uzi😅Hey citizens
Kikubwa wanaona mimi ndo yule niliye underground nashkilia nguzo ya threadMwenzio Herzargo alichoka kujisemesha mwenyewe akaamua kuukimbia Uzi
Maraas halland Bado goli moja kutoka kwa Thiago amfikie huyo pimbi.Haaland kwisha kabisa.
Rajuun.