The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Man city ilikuwa ni mvua ya misimu sasa imeisha kama ulijichanganya kuishabikia utajua mwenyewe
 
Dah, huu uninga kweli, tumeanza kuwa kama Man U. Tunapigwa kama watoto na wachezaji wazuri tunao.... Dah
 
Man city Chama langu, wale wa man city tujuane 😂😂😂😂😂😂
 
Kwahiyo vipi mpaka tunarudi mtakuwa mnasuasua, miezi mitatu mingi sana.
 
GOAL! Foden heads home from Doku's brilliant cross! Man City 1-0 Man Utd

1757875319396.gif
 
Back
Top Bottom