The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Al Hilal wana wachezaji waliopita Ulaya, hivyo mziki unaokutana nao ni kama unakutana na kina Newcastle. Tofauti na timu za latin America ama Afrika.
 
Ndio maana mmetolewa na waarabu CWC
Ni kweli, lakini hilo ni jambo la kawaida, soka lipo hivyo sio mara zote utakuwa bora. Inahitaji uwekezaji wa muda mrefu kuwa juu muda wote.
 
Msimu mpya unaeda kuanza wiki ijayo.
Rodri bado ni mgonjwa, kova nae ndio kaumia tena, Pep bado anasumbukiwa na mtalaka wake.
Maumivu yataendelea kwa citizens
 
Mwacity fc degedege fc upara fc
Kipepe hana mbinu tena mkimaliza top 4 nipigwe ban la karne
 
Msimi mpya Halland ni yuleyule,
Oscar bobb kaanza kwa assist, Cherki mechi ya kwanza kaanzia bechi kaingia na goli, Reijnder goli na assist katika mechi yake ya kwanza, kule nyuma Stones karudi.
3 poimts+4 goals + cleansheet= mwanzo mzuri wa msimu..
Screenshot_20250816_213842_All Football.jpg
 
Back
Top Bottom