The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

39 trophies ni 17 years, insane.

IMG-20250615-WA0020.jpg
 
Yani mpaka Bayern wanafikisha goli 6 Kane hana hata moja 😂
 
Kwa sasa kikosi chetu kina mabeki saba wa katikati.

Ujio wa mabeki asilia wa pembeni utalazimu baadhi ya CB's kuuzwa au kutolewa kwa mkopo. Uwezekano upo hivi.

Stones- kuuzwa
Ake- kuuzwa
Vitor Reis - mkopo
Nimeshagundua Pep huwa anapata wakati mgumu kumuweka bench Akanji akiwa fiti na Akanji kuanza maana yake Gvardiol aanze bench kitu ambacho hakiwezekani.
Usishangae Gvardiol akaendelea kufunika left back halaf Ait nouri akapelekwa right back ili Dias na Akanji waanze.
 
Sasa Nico hawezi kucheza kama lone DM, huwa anazidiwa, huyu Reijnders naye kwenye ku defend sio kiviile yeye quality yake kuvwa ni kwenye ku attack.
DM sio lazima awe hardcore wa kupiga tackling, kudefend timu kunaweza kuwa kwa ku hold mpira na ku control tempo ya mchezo na kufanya hivi inahitaji mchezaji awe vizuri technically kwa maana ya passing n.k

Mtu kama Sergio Busquet hana physicality ya kupiga mi tackles, yeye anacontrol games tu.

Ndio maana nikasema hata Tijjani anaweza akacheza pale sababu yupo vizuri kwenye passing, dribbling na ku hold.

Kwa Nico of course yeye anahitaji mtu wa kusaidiana naye hawezi pekeyake kumiliki dimba maana hata skillset yake sio nzuri sana anahitaji ku improve zaidi.
 
Nimeshagundua Pep huwa anapata wakati mgumu kumuweka bench Akanji akiwa fiti na Akanji kuanza maana yake Gvardiol aanze bench kitu ambacho hakiwezekani.
Usishangae Gvardiol akaendelea kufunika left back halaf Ait nouri akapelekwa right back ili Dias na Akanji waanze.
Haiwezekani, tukisajili right back lazima mmoja akae benchi kati ya Gvardiol na Akanji.

Gvardiol amekuwa na form nzuri so likely Akanji atasugua benchi kama akibaki.
 
DM sio lazima awe hardcore wa kupiga tackling, kudefend timu kunaweza kuwa kwa ku hold mpira na ku control tempo ya mchezo na kufanya hivi inahitaji mchezaji awe vizuri technically kwa maana ya passing n.k

Mtu kama Sergio Busquet hana physicality ya kupiga mi tackles, yeye anacontrol games tu.

Ndio maana nikasema hata Tijjani anaweza akacheza pale sababu yupo vizuri kwenye passing, dribbling na ku hold.

Kwa Nico of course yeye anahitaji mtu wa kusaidiana naye hawezi pekeyake kumiliki dimba maana hata skillset yake sio nzuri sana anahitaji ku improve zaidi.
Kwa hiyo unaamini Reijnders anaweza kumudu dimba endapo Rodri akikosekana? Sababu kwa mechi chache nilizomuangalia pale Milan ni type ya gundogan, ni mzuri sana kufika kwenye box la timu pinzani.
 
Ikitokea situation ambayo tutamkosa Rodri na Kova, basi Tijjani anaweza ku cover hilo eneo, ni suala la ku master vitu vichache tu.
 
As long as kuna Rodri, Kova na Nico, usitegemee Tijjani Reijnders kucheza DM.

Hata kama wewe ungekuwa ni kocha, upo tayari kumtupa reijnders DM wakati kwenye benchi una Nico?
Maana utakua unakosa kashkash zake kule mbele ambazo anaziweza vizuri kuliko Nico kwaiyo ni bora Nico acheze DM then Reijnders awe free.
 
Mkuu, mimi sijasema kwamba Tijja acheze DM, nilikua nasema ikitokea tukapata crisis kwenye hilo eneo basi Tijja ana uwezo wa kutupa cover.

Tofauti na hapo, yule atabaki kucheza kiungo cha juu to do what he does best.
 
Back
Top Bottom