The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250617-WA0017.jpg
 
Wakati Haaland anasajiliwa aliulizwa ni timu gani yupo excited kukutana nayo, akasema Man utd.

Game yake ya kwanza dhidi ya nyumbu kaweka Hattrick.

Cherki kaulizwa timu gani yupo excited kukutana nayo kasema Man utd.

Nyumbu wajiandae.
 
Iwapo tutashinda kombe la dunia la vilabu tutapata kitita cha mpaka £100m.

Hii moja kwa moja inaenda kubalance vitabu kwa ike £115m tuliyotumia dirisha hili la kiangazi.

Bado kuna mauzo ya wachezaji pia kama Grealish, Walker, n.k
 
Our future.

Claudio Echeverri (19)
Sverre Nypan (18)
Juma Bah (19)
Vitor Reis (19)
Abdukodir khusanov (21)
Rayan Cherki (21)
 
Back
Top Bottom