The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250615-WA0004.jpg
 
Inaelekea Galatasaray wanaweza kukamilisha usajili wa Ilkay Gundogan.
 
Kwa sasa kikosi chetu kina mabeki saba wa katikati.

Ujio wa mabeki asilia wa pembeni utalazimu baadhi ya CB's kuuzwa au kutolewa kwa mkopo. Uwezekano upo hivi.

Stones- kuuzwa
Ake- kuuzwa
Vitor Reis - mkopo
 
Back
Top Bottom