Hatimaye madili matatu yametimia kwa wakati.
Hawa mods mimi huwa siwaelewi, huu uzi ukiangalia taarifa zilizopo pale mwanzo ni kituko, kimewekwa ki historia nacho kimeishia njiani, hakuna taarifa za club thread imekaa kienyeji sana.Hii sio sawa, kwenye front page ya huu uzi hakuna section ya makombe ambayo timu imeshinda, hakuna section ya wamiliki, hakuna section ya current manager kiufupi upo outdated.
Moderators tunaomba mu update huu uzi uwe kama wa majukwaa mengine, yote yako updated ila huu unaachwa.
Ni kupigizana nao kelele mpaka kieleweke, hii sio fair.Hawa mods mimi huwa siwaelewi, huu uzi ukiangalia taarifa zilizopo pale mwanzo ni kituko, kimewekwa ki historia nacho kimeishia njiani, hakuna taarifa za club thread imekaa kienyeji sana.
Nilishapiga kelele sana humu ila tulichoambulia ni kuwekewa ki nembo na picha uwanja basi.
Wao ndio wana uwezo wa ku update nyuzi, cha ajabu hizo updates zinawashinda kama vipi waweke member tuwe na uwezo wa ku update nyuzi tumalize kazi wenyewe.Umeamua uwavalie njuga 😂
Hizo ndondo za Afrika sijui kwanini huwa wanafosi kufanya kipindi cha ligi, mpaka leo huwa nashindwa kuelewa logic ya hawa jamaa.Marmoush na Ait Nouri ni waafrika, hii maana yake tutawakosa kile kipindi cha Afcon.
Usiite ndondo mkuu ni mashindano makubwa tu ila ratiba yao ya kuweka wakati watu wapo bize na ligi wanakwama.Hizo ndondo za Afrika sijui kwanini huwa wanafosi kufanya kipindi cha ligi, mpaka leo huwa nashindwa kuelewa logic ya hawa jamaa.
Watu wengi tu hadi makocha washalalamika kuhusu hiyo Afcon, ni mashindano yanayojaza ratiba tu bila ulazima wowote, wanashindwa kufanya majira ya kiangazi wanalazimisha muda ambao wachezaji wanahitajika na vilabu vyao.Usiite ndondo mkuu ni mashindano makubwa tu ila ratiba yao ya kuweka wakati watu wapo bize na ligi wanakwama.