The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250609-WA0028.jpg
 
Fainali ya kombe la dunia la vilabu kutakuwa na half time show, kama super bowl.
 
Kwa mujibu wa taarifa kutoka L'Equipe, Man city itapeleka mchezaji mmoja kwa mkopo Lyon kama sehemu ya makubaliano ya dili la Cherki.
 
Mpaka sasa haijulikani ni mchezaji gani atatolewa kwa mkopo lakini mmoja wa wachezaji wafuatao ndiyo ana uwezekano mkubwa wa kwenda.

Claudio Echeverri (most likely)
Juma Bah
Vitor Reis
Jack Grealish
 
Timu imemtangaza rasmi Rayan Ait-Nouri kama mchezaji mpya wa Man city.
 
Back
Top Bottom