The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kuna article nimeona imechambua kwamba midfield yetu ilikuwa weak sana kiasi kwamba hata wakati wa kushambulia, zile runs kwenye box zilikuwa chache.


Ujio wa mtu kama Reijnders utasaidia ku unlock potential ya wingers wetu (doku, savinho) sababu ni mzuri kwenye kufanya hizo runs kwenye box.
 
Rayan Ait-Nouri akiondoka Manchester baada ya kukamilisha vipimo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…