The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Palace asilimia yao kubwa ya ball possession nafikiri inatokana na clearances wanazofanya, maana sio kwa dominance hii.
 
Kwahiyo kazi yetu sisi mbele ya palace ni kufanya comebacks tu.
 
Back
Top Bottom