The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Who's your role model Florian?
IMG-20250516-WA0011.jpg
 
Fixture ya nyumbu na kenge ndio inaongoza kwa kutoa sare EPL.
 
Man city will make an official bid of more than €50m to AC Milan for Tijjani Reijnders in the next few days.

Via Fabrizio Romano
 
Kuna sheria inawekwa msimu ujao ya nahodha wa timu pekee ndiye atakayeruhusiwa kuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na referee ili kuepusha refa kuzongwa na wachezaji yanapotokea matukio ya utata.
 
Tumekuwa wa 6 sasahivi, hii race tumeifanya iwe ngumu kipuuzi kabisa.
 
Point per game ratio ya Ruben Amorim ni mbovu kuliko Point per game ratio ya Paul Jewell, aliyekuwa kocha wa timu mbovu zaidi kwenye historia ya EPL, derby county ya mwaka 2007-08.

IMG-20250517-WA0002.jpg
 
Back
Top Bottom