The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Matapeli wa soka wameingia fainali, mmojawapo tunaye UEFA msimu ujao.
 
Eti tapeli mojawapo linaenda UEFA 😂
IMG-20250509-WA0005.jpg
 
Doku against Liverpool

3 meetings
201 touches
89 accurate passes
85.6 pass accuracy
43 ground duels
38 touches on opponent's box
33 successful dribbles
11 recoveries
7 chances created
5 times fouled
 
A day like this, back in 2023, KDB equalise with a banger in a UCL semi final clash against Real Madrid.
IMG-20250509-WA0014.jpg
 
Mipango ilikua Vitor Reis atumike kama DM kwenye timu ya academy kuona kama anaweza fit hiyo role lakini kulingana na majeruhi ya kikosi cha kwanza ikabidi ajumuishwe kwenye kikosi cha wakubwa.
IMG-20250509-WA0019.jpg
 
Khusanov anapigishwa pindi la English so la kitoto, vipindi vya masaa 3 kwa wiki akiwana mwalimu wa timu, then mengine tena akiwa nyumbani online.
IMG-20250509-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom