The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

IMG-20250508-WA0036.jpg
 
Tarehe kama ya leo, miaka 25 iliyopita, City tunafanikiwa kurejea ligi kuu baada ya kuwa relegated kwa miaka minne.
IMG-20250508-WA0006.jpg
 
Tuko tunapambana kukamilisha dili la fullback wa Flamengo, Wesley, kabla ya FIFA club world cup kuanza.

IMG-20250508-WA0033.jpg
 
Tarehe kama ya leo, mwaka 2022 tunambamiza Newcastle goli 5, perfomance ya hali ya juu kabisa.
IMG-20250508-WA0032.jpg
 
Back
Top Bottom