The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Barcelona vs Inter milan ni moja kati ya game bora za hii decade. Imenikumbusha game ya City vs Tottenham ile tunampiga Llorente anakuja kufunga tunatolewa kwa aggregate.
 
Barcelona vs Inter milan ni moja kati ya game bora za hii decade. Imenikumbusha game ya City vs Tottenham ile tunampiga Llorente anakuja kufunga tunatolewa kwa aggregate.
Moja ya game zilizoniuma sana,ukiacha ile ya madrid tuliyofanyiwa ukatili na rodrygo.
 
Moja ya game zilizoniuma sana,ukiacha ile ya madrid tuliyofanyiwa ukatili na rodrygo.
Hio siku sikulala 🙁
Nikisinzia kidogo napata nightmare naona shuti la Son dah! niliumia hatari, ni kama msimu ule chelsea anatupiga game zote na ya UCL Final!
 
Eti Arsenal alikua anapewa nafasi kubwa ya kuchukua UEFA 😂😂😂
 
Game 400 kwa bernado ndani ya uzi wa city.
IMG-20250508-WA0000.jpg
 
Wenger analalamika huu mfumo wa bingwa wa Europa kwenda UEFA.

Imagine city tunavuja jasho kumaliza top five, nyumbu & spurs wanakandwa day in day out na hawawazi but msimu ujao timu mojawapo mpo nayo UEFA.

Huu ni utapeli kwenye soka.
 
Timu zinazocheza WC zitaanza kusajili siku 10 kabla ya dirisha kufunguliwa kwa timu zingine.
 
Back
Top Bottom