Leo tuna uwezo wa kupata goli 2+
Shida ni kudefend sasa.
Nunes uchochoro
Gundo,Kdb na bernado hawana uwezo wa ku cover ground kubwa, tegemeo ni Gonzalez ambaye nae ni vyepesi kuzidiwa sababu sio natural DM.
Matatizo ni yaleyale kwahiyo tukitoa droo leo siwezi kushangaa.