The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Kwemye mechi dhidi ya Nottingham tuliyoshinda 3-0, Grealish alianza kama Central attacking midfielder, akawa na perfomance nzuri then hakurudi tena kwenye hiyo role.

Game ya Leicester city pia akaja kuanza kama CAM na akatoa man of the match perfomance then game iliyofata akala benchi.

Nashindwa kuelewa why pep anakuwa mgumu kumu unleash Jack kwenye hilo eneo ambalo ndilo anaweza kuoffer more goals& assists.
 
Mkataba wa Gundogan kulikua na contract extension clause ambayo inasema kama Gundogan akicheza kwenye idadi fulani ya mechi, basi automatically anakuwa offered one year contract extension (untill 2026)

Hii clause tayari ishakuwa triggered baada ya game ya palace.
 
Recently, Gundogan amekuwa na kiwango kizuri.

Kwa asilimia kubwa hii inachangiwa na uwepo wa Nico Gonzalez ambaye anampa freedom gundogan kwenda mbele.
 
Kuna wanaosema savinho ni flop.

Huyu Ndiye anaongoza kwa assists pale city msimu huu, na kwenye EPL anazidiwa na salah na saka tu.

Huyu "flop" akiwa kwenye form itakuwaje?
 
Tokea mwezi october mwaka jana, our longest winning run ni mechi mbili.
 
Kwa mujibu wa ripoti, kwenye world cup hatutatumia jezi zetu traditional za sky blue.
 
Mechi ya kuangalia hapa ni Inter vs Bayern

Madrid anaagwa so muda.
 
Back
Top Bottom