Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 722
- 768
Pongezi nyingi kwa King KDB


Shabiki yeyote wa Man United atakayemfananisha Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne ni mhalifu, na niko tayari kumchukulia RB na kumfungulia kesi
Kdb na takatakaShabiki yeyote wa Man United atakayemfananisha Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne ni mhalifu, na niko tayari kumchukulia RB na kumfungulia kesi
Pep kasema Haaland Kurudi hadi mwezi WA Pili Yuko na injury...Bado Halaand
𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Man City are expected to miss Erling Haaland until 𝐅𝐞𝐛𝐫𝐮𝐚𝐫𝐲, Guardiola says 
KDB akiwa kwenye form Ni bonge la Attacking midifilder..Shabiki yeyote wa Man United atakayemfananisha Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne ni mhalifu, na niko tayari kumchukulia RB na kumfungulia kesi

KDB ni Genius huyo kamwe asifananishwe na vitu vya ajabu.Shabiki yeyote wa Man United atakayemfananisha Bruno Fernandes na Kevin De Bruyne ni mhalifu, na niko tayari kumchukulia RB na kumfungulia kesi
Kumbe uliona mkuu ,yaani alinikera Sana ,Fala YuleRefa ali delay kupuliza kipenga cha offside mpk katuletea injury ya kijinga kabisa ya ederson.
