Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
.Everton na Nottingham Forest baada ya kuvunja FFP na kupunguzwa point ...timu nyingine
Hii kitu hata mimi nimejiuliza sana aisee..sijui Kwanin rodri hakuwekwa hapo ...View attachment 2873238



Nikweli na hatukereki sasa 😁Kwani ni uongo kwamba timu ina UEFA moja tu,nayo ya kuforce Sana🤣🤣🤣
Naona umeiba simu ya magendo huko Hostel😂😂😂😂😂 acha basi mambo yako
Nikweli na hatukereki sasa 😁
Mnamtamani sana beki wa Dunia VVD kisikiWatu watasema nimeedit hapaView attachment 2874324
Tangu ubadili kabila kuwa Mzaramo siku hizi sikuwezi kabisa kwenye ligi naona unanikabia juu kabisa. AghaahNaona umeiba simu ya magendo huko Hostel😂
Anapambana Pain Killer mwenyewe
Uzi umejaa upweke huu
Tangu ubadili kabila kuwa Mzaramo siku hizi sikuwezi kabisa kwenye ligi naona unanikabia juu kabisa. Aghaah