Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,744
Fraud
Mbwa mjamzito umetepetaSo you're shamelessly bragging for draw? Watu wamecheza katikakati ya wiki nyie mmepumzika wiki nzima afu mnajivunia draw?
Shame on you![]()
Bado hamna timuWe mbwa tulia hapo
Utajua ww hayo yakoPamler na sterling kama vile walikubaliana kutaka kuonesha kuwa tumeacha wachezaji wazuri ....
Hawa Chelsea inaonekana walikamia kweli kweli..
Swa ww mwenyewe timuBado hamna timu
Mechi ijayo lazima mtakalishwa na NewcastleMbwa mjamzito umetepeta
Subiri mechi na Newcastle uone kitakachowakutaSwa ww mwenyewe timu
Bado hamna timu



ingawa haya mambo ya kuitana mbwa japo siyapendi basi ulisema tukuite mbwa 


Ndio na wewe Katoe rushwa ,hajakuzuia MTU ....Top of the table ya rushwa
Umepigwa hii kama sio refa wenu
Na bado mtaongea mpaka mkome ...Fraud

Mbona hata mechi ya spurs alicheza vizuriSema huyu Sterling kama alikuwa anataka kumprove wrong Pep kaubonda dah😂
Yule refa sijui Chelsea tulimfanyia nini anachuki na Chelsea mno hatujawahi kushinda game alizochezesha yeyeMmepora points za Chelsea
Ile haikua penalty
Kama kawaida yenu mkapora kwa rushwa.
Bado hujasemaFraud
Timu yenu yenyewe ndo mbovu acha kumsingizia TaylorYule refa sijui Chelsea tulimfanyia nini anachuki na Chelsea mno hatujawahi kushinda game alizochezesha yeye
Timu yenu yenyewe ndo mbovu acha kumsingizia Taylor



