Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Kuna vijeba wamekuja kutema nyongo humu, hichi kisahani kimewapa nafasi ya kupumua make vichapo ambavyo huwa tunatembeza ni balaa, tunachekwa mara moja kwa mwezi.
Leo hawa wapuuz wamepata pa kuongelea walau maana vipondo tulivokua tunawapa mfululizo walikua wanakosa raha sana.Niwaambie tu Wana Gunners shida iko pale pale kwny ligi tutaendelea watembezea vipigo vile vile.
inazid kushika sababu ya umri. Angalau alivokuwepo Gundogan

