Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Palmer is the baller ,naona pep anaweza kumuacha kucheza nafasi ya Mahrez ...japo Bado anavingi vya kujifunza ...




...no celebration no passion ,....4-0😎Mwacity upara fc akili hamna laana inawatafuna hamtapata kombe lolote lile kenge nyie laana fc![]()





.itachukua miaka 10000 team yako kuchukua haya makombe Kwa pamojaTukisema City ni genge la wahuni mtuelewe.









Chelsea yenu haina madharaKama mnafungwa na arsenyeto mkikutana na sisi situtawakandamiza mishale ya kwenye upara MATAPELI nyie bin waheed![]()
Kwa lugha nyepes anawaambia kua Ligi msimu huu tunabeba tena
.