Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Kufa, ukimaliza ufe tena.Rudini kwenye team zenu wakimbizi nyie
Kufa, ukimaliza ufe tena.Rudini kwenye team zenu wakimbizi nyie
Hatimaye mwali katua mikononi mwetu daah, hii moment hadi nilijihisi machozi yanatoka, tumepitia mengi sana kwenye hili kombe.Tunajua hamjapenda lkn ss sisi tufanye nn?.
Hakuna namna sisi ndo Mabingwa wa ulaya.
Na ss ivi tumeonja DNA yake tunachukua Back 2 Back. View attachment 2653210
Yan mkuu haters watu walipata sehem comfortable ya kujificha had wakajisahau.. Saiv wanatafuta waje ss na stry ipi... Maana hii ndo ilikua kubwa kwaoHatimaye mwali katua mikononi mwetu daah, hii moment hadi nilijihisi machozi yanatoka, tumepitia mengi sana kwenye hili kombe.

Na Kocha yule Tabia zake anahama mhame na timu Sasa plastic fansFrom all those traumatizing exits, we were still hoping and hoping and hoping, and now, we've made it.
The european fucking championssssssssss.
Got no time with trolls.Na Kocha yule Tabia zake anahama mhame na timu Sasa plastic fans
Yan porojo zilipigwa hapa kana kwamba mpr unachezwa kwa historia.Mpaka sasa bado nimeduwaa, hili kombe tunaambiwa hatuna DNA nalo na hatutokaa tubebe,

Nmefurahi sana arsenal abaki mwenyewe hukoEnglish teams to win UCL
- Liverpool (6)
- Manchester United (3)
- Chelsea (2)
- Nottingham Forest (2)
- Aston Villa (1)
- Manchester City (1) 🆕
- Arsenal (Invisible)
Soma uwe unaelewa mzee ....Kwani knock out stage yote si tumetumia back 3 au we ulikua unaangalia man city ipi?