Vampios TEKASHI
Senior Member
- Apr 22, 2023
- 136
- 106
Gooal ancelotti
4-4 90 +4'
4-4 90 +4'
They'll complete their comeback in 3rd legGoooal benzema
4-2 90 +2'



Hao ndio man city, kama namuona aguero vile
Hakuna cha benzema, vinicius wala modric hahhaaaaaaaaa
Pep apewe maua yakena fainal mtachezea etihad bas katen rufaa muombe ihamishiwe apoMtu unamwambia vizuri tu kwamba bwana pale etihad hatujapoteza mechi yeyote kwenye UCL kwa miaka mitano mfululizo, analeta porojo
Imekuaje tena si nasikia Madrid hanaga cha nyumbani wala ugenini


kashindwa kujitafuta leoBrother, naona unatapatapa sana, in short sina cha kukusaidiana fainal mtachezea etihad bas katen rufaa muombe ihamishiwe apo
Mtu unamwambia vizuri tu kwamba bwana pale etihad hatujapoteza mechi yeyote kwenye UCL kwa miaka mitano mfululizo, analeta porojo



Tuseme fainali tatu tu na game ya Chelsea jumapiliFainali 2 hizo








