Mr Ubwabwa
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 375
- 283
3 games away from treble








Atajiongeza ausioKwa vibe nililonalo Sina usingizi wacha niagize gambe mpaka asubuhi, ...
Kesho hakuna kwenda kazin ,boss nishamtumia hii picha ya bernado silva ....View attachment 2625859
Madrid baana![]()



oooooh ugenini ndo huwa wanaupiga mwingi jamani jamani wasemaji wa hizi team washakuwa wengi siku hizi dah!Huyu jamaa sijui kwanini anataka kuondoka tu.man of the match ..View attachment 2625860