Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Madrid kakuinamsha final mbili zote anakugonga ,naona Leo unamshabikia ....
Wewe kigagula wa huko sumbawanga unazid var ,referee na camera zaidi ya ishirini zilizokuwa uwanjan kujua kma mpira haijatoka au laaah
Heri mm nilicheza finals 2
Wewe hata final kucheza toka team iumbwe ni moja na sioni kucheza final hivi karibuni sababu akina KDB tayari maji kupwa maji kujaa

