Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Vitoto vya 2000 utaviweza?Wana jidanganya sana Man City eti Madrid atashindwa cheza vyema Itihad
Huwa nacheka sana aisee
Madrid anakupiga Itihad
Ilikua apigwe home and away refa kawapa bao la mchongo


Yaani vishabiki vya Mwacity vinafurahisha kweli 

pep mwenyewe kakubali Show na anatakiwa awape mbinu mpya vijana.