ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,557
Pole sana. Napita tu...
angalia tu usipotee mkuu nzi
Pole sana. Napita tu...
Teeeh teeeh teeeeh. Nendeni nafasi ya 3 hk bhana wy
Man shitty tokea mchukue ubingwa kw tofaut ya kagoli nilijua ndio mwisho wenu ule, next season mbio za ubingwa zitakua kat ya united na chelsea. Manchester is red, glory glory
wanasema hata uwe na Meno makali kiasi gani, huwezi kuitafuna Pua...
Sheikh Mansoor michezaji anayo kiibao, lakini mwenzetu huyu sijui anachambia nini kiasi kwamba mafanikio ya Soka kwake NEHI...
Poleni sana majirani ndio.Mambo ya EPL hayo.
bora aje di matteo maana huyu mtaliano kashindwa kazi kabisaa...
wewe tulia tu utibiwe, disko la kitoto halikeshi mwisho saa 12 jionibora aje di matteo maana huyu mtaliano kashindwa kazi kabisaa...
| |
MANCHESTER CITY LATEST | |
11/8 | Manchester City are 11/8 to win the FA Cup with William Hill |
wewe tulia tu utibiwe, disko la kitoto halikeshi mwisho saa 12 jioni