The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

.our boss
FB_IMG_16812483806330553.jpg
 
Mane anaingia watu wanashangilia mara oooh alishaifunga city goli 10+ wakati yupo Liverpool...

Sasa Leo alikuwa haonekani ...

Cancelo naye kaishiwa kuzomewa ..

Muller huwa namuogopa ila Leo kafichwa msitu mzito ...

Stone ni underrated defender ,ila ni bonge la solid defender ,..

Dias Leo kila alilokuwa anafanya ilikuwa sawa ,kapiga broke zote Kali zilizokuwa zinaingia golin ...
 
Dias alikuwa anajitupa mzima mzima, hakuna kupeleka shuti golini.
 
Back
Top Bottom