Ina maana kipindi hicho Egypt au wamakonde wetu walikuwa hawajaanza Civilisation?????H ata ya kutengeneza vishada ? the the teh teh.
Mi nadhani africa hatukuwa na njia ya kuhifadhi kumbukumbu. Ndio maana hata hivi leo so rich cutlure zinapotea bila kuwa na kumbukumbu zilizonadikwa. Vijana wote tunasikiliza fm hatuchezi ngoma tena
Tunaona aibu kucheza ngoma za makabila yetu. Makasi mingingoma ya izaramu itapotea wazaramu wote na makabla mengine tuimbe rap na bongo flavour