Jiraniπ€£π€£Jirani...awali ya yote nakushukuru sana kwa muda wako jana pale kordoni..
Kama hutojali naomba nikualike dinner jioni ya leo...chagua sehemu uipendayo..
binafsi napenda sehemu iliyotulia na pawe na live band..
Jiran jana sijalala..
Jirani...awali ya yote nakushukuru sana kwa muda wako jana pale kordoni..
Kama hutojali naomba nikualike dinner jioni ya leo...chagua sehemu uipendayo..
binafsi napenda sehemu iliyotulia na pawe na live band..
Jiran jana sijalala..
Jirani we acha tu...View attachment 1810216
Aahahahahahhaa jirani na leo hujatoka hadi saa hii kulikoni...??
Au ndo usingizi ulikuchukua asubuhi..!??
Pole kukunyima usingizi, nashukuru mie niliupata nikalala vyema na asubuhi niliwahi ibadani.
I love the dinner invitation, but if you donβt mind, can we make it next Saturday please....
You choose the place cause hizo sifa za dinner zote naendana nazo.
Angalizo, nnavyopenda kudeka... jiandae kunifungulia mlango wa gari aahahahahaha.
Jirani we acha tu...
Kila kausingizi kakitaka kuja, image yako inatawala....ile sauti na mashauzi ya mahaba sasa..nachoka sana jirani..[emoji1][emoji1]
Leo nimeamua nijipumzishe jirani...
Napenda sana videko jiran......nitakudekwza mpaka wasema nimelishwa naniliu..[emoji16]
Hi everyone,
I hope you have a bright Sunday, Super weekend na nini na nini hata kama mambo yako ndivyo sivyo, have faith itβll come your way just work hard.
Sasa bana, huku nnakoishi uswazi, mlango wa kuingia kwangu unatizamana na mlango wa jirani yangu ambaye huwa hatuonani kutokana na shughuli zake. Anatoka alfajiri sijui anarudigi saa ngapi, siku tukibahatika tunakutana kwenye korido au getini aidha yeye anaingia mie natoka ama yeye anatoka mie naingia.
View attachment 1810214
Jirani huyu tunashea kamba za kuanikia nguo kiasi kwamba siku akifua yeye basi nasubiri hadi aanue nguo zake nami ndo nifue. Na maisha yetu yameenda hivyo kwa kitambo bila kukwaruzana.
View attachment 1810217
Wiki la juzi nimerudi kutoka kwenye shughuli zangu nshakula sasa niko mezani napanga mambo ya kesho yake na kurudisha jumbe na simu za siku nzima. Mishale ya saa tano na nusu hivi nasikia jirani anafungua milango anafunga....
View attachment 1810218
Mara paaap nasikia mlango wangu unagongwa..... khaaaa...!!
Niliogopaaa nikasema usiku huu nikimfungulia itakuwaje, what if... what if.... what if..... mie mwanamke ujue halafu....
View attachment 1810219
Akili yangu ikanizidi akili nikanyanyuka kwenye kiti kwa kunyata nikaenda chumbani kimya kimya bila hata kuzima taa na sendoz zangu za ndani niliziacha mezani.
Huo usiku ukapita bila kujua alitaka kunisemesha nini.
Ila msema kweli mpenz wa Mungu, acha niseme ukweli. Sikuidhulumu nafsi yangu ila najijua nilikuwa na minyege usiku ule ningefungua mlango walaah angenikula kirahisi sanaaa.
Sasa acha nisimulie kilichotokea jana usiku...ππ
Mapema tuu niko nyumbani nakarangiza kwenye saa moja na nusu hivi nasikia hodi kufungua jirani. Nikamkaribisha ila hakuingia ndani akasema nitoke nje tukaanza maongezi kwenye korido.
Khaa...! Saa nzima ikakatika hapo tumesimama ni alfu lela ulela, nikajistukia narembua sana macho. Nikamkatisha samahani muda wangu wa kupata mlo wa usiku unapita karibu tukae wote mezani. Akasema hapana niendelee yeye akatoka kwenda kitaani.
Nikajifungia ndani kwangu nikala nikaosha vyombo usiku mzima ananijia akilini.....yaani namuwazaaa
Sitaki kumuelezea namna alivyo siajabu yuko humu, ila sitaki kuharibu ujirani wetu.
Eeehh maisha haya, bora nifikishe miaka 60 niache nyegee....πππ π π π
The Man Next Door is Senior Bachelor just like Granny Kasie π.
Kasie Mahaba.
Sasa haya maongezi jamani takribani saa nzima jirani alikuwa ana sera gani??Hi everyone,