The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Umeongeza neno vizuri lakn mwanzo halikuepo
Yafaa ungetulia vizur kuilewa

Screenshot_2018-01-21-19-32-20.png
 
Manchester City wanafikiria uwezekano wa kupeleka wachezaji wao chipukizi kwenda kwa mkopo katika klabu ya Bristol City ambao watakutana nao katika nusu fainali ya Kombe la Ligi. (Mirror)

Manchester City waliacha kumfuatilia Alexis Sanchez ili kumfuatilia Fred. (Daily Star)


Kiungo Kevin De Bruyne anatarajiwa kupewa mkataba mpya Manchester City kutokana na kuonesha kiwango kikubwa. (BBC Sport)
 
Back
Top Bottom