The Man behind 2PAC's Death

uzushi uliopo utadumu kuwa ni ukweli mpaka ukweli utakapodhihiri! Mimi
 
Behind it Kuna CIA pia. Ili kumaliza bifu lililokuwa linapamba moto Kati ya east na west. Both were killed by CIA. Period! But the question is " why the 7th day theory apply to the death of 2pac? Refer the kiluminati album!! Think big
Ha ha ha hivi unajua CIA ni nani. CIA hawadili na watoto wadogo. Ukiniambia kwamba walimuua Pablo hiyo naweza kukubali ila sio hawa watoto wadogo wadogo. Hao hata polisi wanatosha tu. CIA sio cha mtoto mdogo wangu.. CIA ni chama kubwaa.
 
simini kuwa umejazwa fictional theories kiasi hiki
Freemason au illuminati ni imaginary concepts kwasababu za kibiashara. naamini huwezi kuprove uhalisia wa hizo societies geographically Ila ni kwa video, picha, websites na vitabu (vitu vya kutengeneza)
 
C.I.A. Wanadeal na external issues


F.B.I. Wanadeal na internal issues

hapa wengi wanaandika mitazamo yao

Ugumu hapo unaposema kuna usiri au ni siri halafu siri hiyo wewe unaijua

naamini 2pac KAFARIKI na nitaamin hivyo.
 
There's no man behind Tupac's death. There's a whole world, instead.

People give B.I.G & Co too much credits, and it's insulting.

Let me try and open your eyes on Biggie. Biggie was once interviewed by a Canadian magazine, and was told to rate West Coast rappers. While on it, He rated Bay's own Emperor E-40 at 0, outta 10. That was straight disrespectful, and 40 and his team were upset when they saw it, but they didn't fuss.

Not long after that, they booked Big to perform in Sacramento. The show wasn't well promoted, so only few knew about it and showed up. When the show was going on, he was booed and thrown things at. So, he couldn't continue. He got out to leave, only to find a limo with no driver. Outta nowhere, some fellas appeared armed, and demanded Biggie to explain his comments on E-40. The dude who was with Biggie pleaded with them to make a phone call to 40, and let the 2 men talk things out. So a phone call was made, and apparently Biggie apologized and blamed it on the liquor. 40 forgave him, and ordered those guys to make sure Biggie got to his hotel, and back to NY in one piece.

40 still denies any involvement in that, other than him picking up the phone and saved Biggie's ass. From then on, they were cool. And Biggie shouted out 40 on his album cover.

Basically, Biggie did what Jojo Simmons did when he was tightened by one of Juelz' boys. But New Yorkers are so embarassed, they played it down. So much for a "Notorious" Nigga that claimed he was ready to die, right?


 
Nilisoma makala moja ya askari ambaye alilkua anafanya upelelezi kuhusiana na hiyo kesi na kwa wakati huu ameshastaafu..

Yeye anasema aliyemuua 2pac ni pdidy ambaye ni mmiliki wa bad boys records, na chanzo kilianza baada ya 2pac kugoma kusign awe chini ya bad boys (kumbuka 2pac alikua chini ya Deathrow chini ya Suge Knight) baada ya tupac kugoma.. ikapelekea bifu kati yake na tupac hiyo ikapelekea kuwa na mnyukano kati yao..

baadaye pdidy akawa na wasiwasi kuwa tupac angemuua so akaona ni vyema amuwahi yeye,

Baada ya tupac kufa Suge Knight akaandaa vijana kwenda kulipa kisasi kwa kumuua BIG kumbuka big na pdidy walikua marafiki na mipa
 
 
People move on, kuna wanamuziki wazuri tuu zaidi ya huyu. Sasa kama yupo atàkuwa wapi na ili iweje, propaganda nyingine Ni nonsense
 
tupac huyu jirani yangu? au kuna mwingine? daaah sikujua kumbe huyu famous eeeh ! Nitamwambia anatafutwa.
 
Lolote linawezekana, mi nadhani CIA ndo wahusika wakuu.Angalia rafiki zake Tupac waliokuwa wanajua siri za TUPAC wote walikufa,kina gadafi,iddi amin nk
 
Theory ni nyingi sana juu ya kifo cha PAC ila ni kwa nini Suge Knight alimwambia pac waende kwanza kwake? Na kwa nini pia Suge Knight alishawish Pac amruhusu body guard wake akaendeshe gari lingine?
 
Nani alimuua big na nini chanzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lolote linawezekana, mi nadhani CIA ndo wahusika wakuu.Angalia rafiki zake Tupac waliokuwa wanajua siri za TUPAC wote walikufa,kina gadafi,iddi amin nk

CIA wanasingiziwa vingi sana, kama tupac angekuwa threat to national security maybe ila ni local gangs CIA hawa deal na streets level issues
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…