donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Wako motema sana aiseeHawa vijana wamenikoshaaa aisee
Wko bien sana mkuuHawa vijana wamenikoshaaa aisee
Kikali sanakazi nzuri sana "PASSENGER" hasa kile kinanda ngoma inapoanza
Uko vizuri mkuuHawa watu nawapenda kuliko chakula.
Wanajua.
Hii ndo tafsiri ya mziki mzuri.
Yes.Uko
Uko vizuri mkuu
Huyu dogo Amadai alikua THT ali hit kidogo kipindi fulani naona amekuja kivingine,naskia boss wao ni Sheta
Kiaje mkuuhuo wimbo wa passenger leo asubuhi nimelipia nauli ya daladala...
Kula flavour mkuuAsee yaan now naiskiliza hii ngoma. Jamaa yuko poa sana ni gud music ambayo unasikiliza anytime tofuat na miziki ya watoto wa wasafi matusi mengi sana sijui wanawaza nini wakiwa wanatunga nyimbo zao. Hii ni iko poa sana. Nimeiweka kwenye playlist yangu nakula mambo tu huku nikiinua siku taratiiibu.