Goodluck Mshana
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,272
- 1,128
Nape Nnauye yuko wapi siku hizi? Au kakimbia uenezi?
Eti Lowasa ananunua watu kuja kwenye mikutano yake! na hiyo waseme tena. Mwisho wa uongo ni October 25.
Yaani CCM watabakia na wrong Assumption tuu october 25 ndiyo mwisho wao na wanakuwa officially chama cha upinzani.
Sasa sijui kama wameshajipanga nani atakuwa KUB?
Nimesikia kuna mchezo mchafu, wanakusanya kadi za wanajeshi sijui ili iweje?
Mwaka huu goli la mkono hamna tunafunga cctv mpk kituo cha kupigia kura cha msoga chalinze ole wake atakaye cheza rafu.Nimesikia kuna mchezo mchafu, wanakusanya kadi za wanajeshi sijui ili iweje?
Nape Nnauye yuko wapi siku hizi? Au kakimbia uenezi?