marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 968
- 1,695
"The problem with Africa is those with power have no idea, and those with idea have no power"
By proffesor lumumba
Recent Nilikua nasoma kitabu kimoja kimaitwa THE LOOTING MACHINE OF AFRICA kimeandikwa na Tom Borgis, tofauti na maandiko mengi sana niliyo wahi kuyasoma yakizungumzia utajiri na umasikini wa Africa na namna ya kuepukana nao kwenye hiki kitabu nimeikuta sababu za kwanini we are the way we are now..
hatupo hivi accidentally !.
Yapo mambo matatu ambao ndio msingi wa maendeleo huko ulaya pia ndio msingi wa umasikini wa Afrika.
MALEZI: ukitazama hata filamu za kizungu utaona mara nyingi hua wane kwenda kwenye mafunzo ya kua baba au kua mama pale anapo kua anakaribia kua na mtoto, Malezi ni kitu kinacho enda kuitengeneza nchi ya kesho(next generation).
Malezi ya mtoto wa sasa ndio mustakabari wa taifa la kesho.
Mtoto akilele %wa kihuni leo basi hata watoto wake atawalea kihuni na taifa litaendeshwa na kujaa wahuni kila kona.
Wakoloni walituandaa kutojua namna bora ya kulea na kuandaa kizazi kojacho ili uhuni usiishe na kama uhuni hauishi basi ni rahisi kitawalika.
Elimu: kimsingi hii hata mimi Nilikua naifahamua kabla hata ya Tom Borgis kuniambia, wa Africa tunapigwa szna m kwenye hii Elimu feki tunayo pewa.
Mechanics, electrical, health education tunayo pewa sisi leo ni ya miaka zaidi ya 200 nyuma unategemea kua na maendeleo?.
Mwisho kabisa na ndio mzizi mkuu ulio pelekea mpaka kitabu kuitwa the looting machine ni
Historia:
Wakoloni walihakikisha hakuna historia nzuri inabaki kuwahusu wa Africa.
Historia ilio andikwa ni kufanya Africa na muafrica kuona kua yeye sio lolote si chochote kwa mtu mweupe, historia tulio tengenezewa haituambii nguvu zetu zilipo ile stick kwenye weakness na mateso yetu utumwani
Tumeaminishwa kua sisi ni wakufata na kuletewa.
Mwandishi Anasema Africa is not poor accidentally they planed and looted Africa to be poor for their own benefit!.