The Last King of Scotland njoo tumuondoe IDD AMINI wa Maputo

MGANGA MCHAWI

Senior Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
199
Reaction score
393
Lazima niwe mkweli kabisa sijawahi kufikiria kama mtanzania wa kawaida kuwa ipo siku tutaelekea kwenye siasa za kupigana risasi na kutesana kama tulipofika saivi.Kutokana na hilo ilinichukua muda mrefu sana kuamini kuwa mwanasiasa nguri mkosoaji mkubwa amepigwa risasi.Nilijiulza maswali mengi sana hivi ni nani mwenye uthubutu wa kumpiga Last King wa Scotlnad risasi??Ni nani mwenye chuki naye kiasi hicho?Lipi kosa lake?Kuikosoa serikali au kuwapigania wanyonge wa kisiasa.Kama Last King wa Scotland kapigwa risasi hadharani vipi kuhusu mimi na wale wanyonge tunaoogopa hata kupita jirani na mahakama?

Niwe mkweli kabisa wakati awamu ya 5 inaingia madarakani ilikua kipenzi cha wanyonge, wengi waliitabiria mema.Wananchi walijipanga kwenye vibanda umiza kuangalia taarifa ya habari kufatiliia kipi kimejiri?Nani katumbuliwa?Sherehe ipi imefutwa na fedha zake kupangiwa miradi ya maemdeleo? Ila siku hadi siku serikali ikaanza kupoteza mvuto kwa wananchi.Sijui kwa nini ila hicho tu kilichotokea.

Labda wananchi walishindwa kuona utofauti wa hali za maisha yao au labda walikua na matarajio makubwa kupita kiasi na serikali ikashimdwa kuwatekelezea.

Kuna baadhi ya wajuvi walishadiriki kusema kuwa sasa upinzani umepata dawa watakosa hoja za kuihoji serikali.Ila wachache wenye uwezo wa kuona mbali wakathubutu kusema kuwa IDD Amini wa Maputo anatafuta umaarufu wa muda mchache ambao hauna faida katika nchi iwe kiichumi au kisiasa.

Gafla The Last King of Scotland akaibuka japo alikuepo ila alikua kimya hadi wapinzani wake wakahisi kaishiwa hoja.Akaibuka na kuanza kukosoa yaleyale aliyokua anayasimamia na kuyaamini.Sasa upepo wa kisiasa ukabadirika gafla na kuanza kumfata yeye.Wale wananchi walokua wanajipanga kibanda umiza kusubiri habari za IDD Amini wa Maputo sasa wakawa wanajipanga kusubiri habari za Rising King.Kila siku zilivyokua zinaenda ndipo upepo ulipokua unamgeukia.

Idd Amini wa Maputo gafla akaanza kupoteza uelekeo.Akawa anawashangaa watanzania kwanini hawaoni juhudi zake kama mwanzo?.Mbaya zaidi akashindwa kurudisha mvuto aliokuwa nao.

Idd Amini wa Maputo alishindwa kuelewa kuwa siasa ni sayansi na ndio maana inasomwa chuo kikuu kama kozi zingine tena inaitwa kabisa Political science.Pale alipokuwa anatafuta umaarufu wa muda mchache the Last King of Scotland alikua anausoma mchezo kwa kuwa aljua kabisa akifanya mchezo atapotea kisiasa yeye na wapinzani wake.Na hapo ndipo akaja na mpango mkali ambao kwa sisi wenye uelewa mdogo tunaona alitumia njia ya "Use him against him".

Njia hii ni nzuri sana na mara nyingi hutumiwa na watu wachache wenye uelewa mkubwa wa mambo.Ni nyepesi sana unachotakiwa kufanya ni kuamgalia mpinzani wako amekosea wapi basi.Kazi kubwa ikawa ni kuwatangazia wananchi ni wap Idd amini wa Maputo amekosea kuwatumikia wananchi Na hapo ndipo upepo wa kisiasa ukabadilika zaidi.

Mbaya zaidi akaanza kupoteza uelekeo pale wananchi wanapohitaji neno la faraja toka kwa kiongozi wao yeye akawa anatoa lugha ya kuudhi na kukatisha tamaa. Na Last king kwa kulielewa hilo akaanza kumpanikisha kwa lugha za mahudhi zaidi.Watu waelewe pia kutumia lugha ya mahudhi ni njia mojawapo inayotumiwa na wanasheria.Hii inasaidia mpinzani kughadhabika na kuanza kuropoka vitu vya kuudhi pia.

All in all sijui nini kilitokea ila saivi the last King of Scotland anapigania uhai wake na Iddi Amini wa Maputo bado anazidiwa kiki na Dr kamata wa maghorofa ya mnada.

Kwa mtazamo wangu naona THE LAST KING OF SCOTLAND bado ana nafasi ya kumuondoa Idd Amini wa Maputo.Kwanza ni mjuvi wa mambo pia ana mtaji wa kisiasa.Saivi ana huruma ya wananchi zaidi ile ya mwanzo.Saivi anaonekana ni shujaa kwa kutaka kufa kwa ajili ya kupigania haki hata kama hapo mwanzo alikua hafanyi hivo.

Wapinzania wake wana njia moja ya kushindana naye ambayo sio ya hoja kwa kuwa kwenye hoja aishawashinda.Saivi ni kutekeleza uharifu wao wa kipuuzi ili wammalize ila hiyo haitasadia na itaongeza chuki kwa wananchi dhidi yao kwa kuwa kwa mtu wa kiwango cha yeye anahitaji ulinzi wa wao kwa vile chochote kinachotokea kwake mshtakiwa wa kwanza ni wao kwa kuwa ndio mshindani wao.

Kingine kama wakirudia kitendo kile hata wananchi watawashangaa imekuaje itokee mara ya pili wakati ile ya kwanza walihisiwa wao na walishindwa kuthibitisha vinginevyo?
Saivi wanakazi kubwa ya kumlinda kuliko hata mwanzo............

Itaendelea but THE LAST KING OF SCOTLAND RUDI TUMUONDOE IDD AMINI WA MAPUTO kwa kuwa wakulima wanamchukia, wafanyakazi usiseme, chama chake ndo kabisa wafanyabiashara ndo vumbi kabisa...
 
Great!! Uandishi ni vutishi! Huchoki kusoma katikati ya mistari
 
Haikutarajiwa wale watu ambao walikuwa wakiimba nyimbo za kumpamba Mugabe ndani ya ZANU PF, leo wako barabarani kushinikiza mzee huyo aondoke zake madarakani. Hata hapa jamvini, kuna watu wanampamba huyo mwingine labda kwa sababu tu ya njaa ili angalau wapate hizo buku tatu tatu wakanunulie uji wake zao, lakini ukweli kutoka mioyoni mwao, hawapendi kabisa jinsi mambo yanavyokwenda!
 
Back
Top Bottom