The king makers

Checking...100%
Searching...100%
Network connected !

Near by Soweto Mbeya.
 
Chief shukrani kwa bandiko la ukweli........nimeona huu Uzi muda kidogo ila majukumu yakanifanya nishindwe kuupitia, ndio nimemaliza kusoma muda huu, hakika hii kitu imetulia sana........hii ianonyesha jinsi wafanyabiashara ni watu smart sana........ukipata muda cheki series inaitwa BILLIONS.
 
Ushoga umemponza rais... me nilikua najua ile skendo ya kivuko kilichozama na kuua watu kwa uzembe ndio iliyomuondoa rais kumbe ni ushoga na tamaa/ rushwa. Asante The bold
 
nakumbuka kuna uzi mmoja humu nilichangia nadhani ni inshu ya CIA...nilizungumzia inshu ya korea na Samsung ilivyokua imeteka soko la dunia na kuwaacha mbali sn western countries...pili mafuta baada ya kuona waarabu wanasumbua sn kwa kua na hela....msemo wa mwisho wa obama baada ya kumuondoa Gaddafi alisema now our goal is on far asia....tafakari huo msemo
 
Hiki kisa nilikuwa nakitafuta sana finally nimekipata na kukielewa shukrani sana mkuu
 
ngoja kwanza nipige job ntaisoma jioni, ni ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…