The Joy of Motherhood

The Joy of Motherhood

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1085492

1085493
 
Wadada wa mjini wanaacha kunyonyesha mtoto akifisha miezi sita. Hawa wana 1yr+ na kikubwa hapa ni bounding kati ya mama na mtoto. Kwenye psychology inaitwa attachment theory.
Kabisaa ukiwauliza wanasema kunamaziwa mazuri yanatoka uk mhhhhhh! Angalia huyo aliyevaa njano kalaa kwa shibe na amani kubwa sana hadi raha. Wamama mnastahili pongezi hasa wale wanao jali sio wa digatal.
 
Wanasema ni uzungu kuacha kunyonyesha mapema, wakati wazungu wenyewe kama unavyowaona mpaka mtoto anafuata nyonyo mwenyewe.
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
🎶🎶🎙🎙🎶📯🎶🍎
 
Back
Top Bottom