Chapakazi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2009
- 2,874
- 310
soma vizuri kwa ndani ya moyo hapo penye red, hali waliyoipata ni natural disaster si ya kujitakia wala ufisadi kama sisi nchini mwetu.
Ndo ivyo, na bado wamekomaa zaidi yetu. Kesho kutwa utasikia mambo fresh kabisa.
Kwa upande wetu, Tanzania itaweza kuendelea pale sisi wenyewe tutakapoamua kuendelea. Lakini mpaka tufike hiyo level tutabaki tunaimba na kupiga kelele tu. There is no way nchi kama Japan ituzidi kiuchumi. NO WAY AT ALL. Huwezi kufananisha natural resources zetu na zao. Tatizo sisi tumejaza ujinga tu!