Sa 6:00 am naamka, baada ya kuoga na kujitaarisha mida ya sa 7:15 am taratibu naelekea katika interview katika Shirika moja hapa Dar.
Nlikuwa natembea kwa miguu kwa sababu sikuwa hata na mia mfukoni, baada ya dakika 45 nafika eneo la tukio tukiwa kama vijana 18 kwa ajili ya oral interview.
8:30 am mchakato ukaanza na ilikuwa anaingia mmoja mmoja pia mtu mmoja anachuka zaid ya dakika 30! Hii ikasababisha interview kuchelewa kumaliza mpaka mida ya mchana ilikuwa bado wengine hatujaingia ndani.
Nlikuwa nimechoka sana na nilikuwa na njaa balaa, bahati nzuri pale kwenye benchi walitugawia maji kidogo ikawa afuweni.
1:45 pm zamu yangu ikawadia na nilikuwa sina woga maana nshazizoea hizi interview kwani nishafanya sana yaani. Baada ya kujielezea na kupangua maswali kama kawaida, ikafika muda wakanipa ruhusa ya kuondoka.
Nikabeba begi langu ile nataka kutoka kuna interviewer mmoja akanita pembeni na akanipatia buku 2! dah kuna watu wanajua kuread people kwakweli, sijui alijuaje kama nina njaa kali kiasi kile.
Japo kazi sikupata ila father ulievaa koti la rangi ya buluu na nywele za mvi mungu akuwekee sehemu maalum mbinguni, ile buku mbili ilinisevu siku ile.