The inevitable class struggle between the haves and the have nots...!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,119
Kwa tuliopita Development Studies wakati wa kuchukua digree zetu za kwanza, kwa sasa tunaingia kipindi cha ubepari ambapo kuna a direct class struggle kati ya the haves and the have nots.

Kwa miaka sasa tumeona ubepari mzito mzito ukiingia, na sera nzuri nzuri za kuremba uwekezaji, ili mabepari waweze kufaidika maradufu na fedha zao nchini kwetu.
Na kweli uwekezaji umeingia kwa kasi, na tunaambiwa hata uchumi unakua kwa kasi ya 7%.
Kitu tunachokiona kwa macho ni majengo marefu yanayokua kama uyoga hasa jijini Dsm na miji mingine kama Mwanza.

Hata hivyo kwa upande wa pili, sera za kuwaendeleza wananchi (social participation policies) zimekuwa haziendani na kukua huko kwa uchumi.
Wananchi wa kawaida wanazidi kuachwa nyuma kimapato na haionekani kama wanafaidika sana na maendeleo wanayoyaona.

Kwa sasa ni dhahiri, ruling class imeji align na the bourgeoise(the wealthy class), wakati sera za kuzatiti kundi la wenyeji na wafanyakazi wa hali ya chini(proletariat) zinazidi kutopata kipaumbele kinachohitajika.

Dalili za kupinga mgawanyiko huu kati ya the haves na the have nots, ndo tunapata vijana walio katika extreme end ya the have nots: Panya Road.

Katika hii struggle nguvu ya polisi haitasaidia sana mpaka hapo the have nots nao watakaposhirikishwa katika kufaidika na maendeleo ya jamii.
Mahsusi hili ndio bomu lenyewe ambalo limekuwa likiongekewa kwa miaka sasa kutokana na kutoshughulikiwa na matatizo ya kushirikisha kwa makini matatizo ya wanyonge , hususan vijana katika mipango ya maendeleo.

Mimi sioni mwisho mwema katika hii struggle maana hata wakiwepo kina Kova kumi, vijana wale wasio na kazi wako pake pale.
Suluhisho ni kwa kuanzia tu, ipatikane miradi mikubwa ya maendeleo sehemu zote nchini, itakayo buniwa mahsusi ku ajiri hii idle resource kwa maana ya vijana, ili waweze kuchangia uchumi na vile vile wajipatie kazi, hivyo kutoka katika vikundi vya kihalifu kama Panya Road.
 
Mkuu masopakyindi , hii ndo topic haswa za kisiasa, lakini hapa hutapata wachangiaji.
Members wengi humu wana tu digirii twa kuombea kazi, siyo za thinkers.
Ungeandika mkuu fulani wa kisiasa kaja.mba au kabaka comments zitajaa kama watu wanafukuzwa!
 
Last edited by a moderator:
Kwa tuliopita Development Studies wakati wa kuchukua digree zetu za kwanza, kwa sasa tunaingia kipindi cha ubepari ambapo kuna a direct class strggle kati ya the haves and the have nots.
Kwa miaka sasa tumeona ubepari mzito mzito ukiingia, na sera nzuri nzuri za kuremba uwekezaji, ili mabepari waweze kufaidika maradufu na fedha zao nchini kwetu.
Na kweli uwekezaji umeingia kwa kasi, na tunaambiwa hata uchumi unakua kwa kasi ya 7%.
Kitu tunachokiona kwa macho ni majengo marefu yanayokua kama uyonga hasa jijini Dsm na miji mingine kama Mwanza.

Hata hivyo kwa upande wa pili, sera za kuwaendeleza wananchi (social participation policies) zimekuwa haziendani na kukua huko kwa uchumi.
Wananchi wa kawaida wanazidi kuachwa nyuma kimapato na haionekani kama wanafaidika sana na maendeleo wanayoyaona.

Kwa sasa ni dhahiri, ruling class imeji align na the bourgeoise(the wealthy class), wakati sera za kuzatiti kundi la wenyeji na wafanyakazi wa hali ya chini(proletariat) zinazidi kutopata kipaumbele kinachohitajika.

Dalili za kupinga mgawanyiko huu kati ya the haves na the have nots, ndo tunapata vijana walio katika extreme end ya the have nots: Panya Road.

Katika hii struggle nguvu ya polisi haitasaidia sana mpaka hapo the have nots nao watakaposhirikishwa katika kufaidika na maendeleo ya jamii.
Mahsusi hili ndio bomu lenyewe ambalo limekuwa likiongekewa kwa miaka sasa kutokana na kutoshughulikiwa na matatizo ya kushirikisha kwa makini matatizo ya wanyonge , hususan vijana katika mipango ya maendeleo.

Mimi sioni mwisho mwema katika hii struggle maana hata wakiwepo kina Kova kumi, vijana wale wasio na kazi wako pake pale.
Suluhisho ni kwa kuanzia tu, ipatikane miradi mikubwa ya maendeleo sehemu zote nchini, itakayo buniwa mahsusi ku ajiri hii idle resource kwa maana ya vijana, ili waweze kuchangia uchumi na vile vile wajipatie kazi, hivyo kutoka katika vikundi vya kihalifu kama Panya Road.

Una pointi lakini title ya kiingereza umefanya ujumbe kuwa wa hovyo
 
Tatizo wewe binafsi ndio umekuwa meza ya hiari ambayo hawa ma-architect wa huu mfumo wameweka drawing board yao. Hiki unachokiandika ni unafiki na machozi ya mamba kwa panya road.
 
Hata hapa kwangu napoishi, muda mfupi uliopita tulikuwa tunazungumzia swala hili na mwanamama mmoja na nikamueleza chanzo kimojawapo cha matukio kama haya ni watu kukosa ajira na kukata tama.

Bahati mbaya sana,kama ilivyo kwa wana-CCM wengi,mama huyu alipinga hoja yangu na kutoa sababu zake kama vijana kuvuta bangi n.k.

Huyu mama angekuwa na akili angejiuiliza kwanza ni kwanini vijana hawa wavute bangi n.k.

Najua kuna wengine hata akiwa na maisha mazuri kuvuta bangi na mambo ya aina hiyo ndio hulka yake.Lakini je,wote hawa kwa makumi au mamia wanafanya vitendo kama hivi kutokana na hulka zao tu?

Polisi kama wana akili,vijana waliowakamata wawahoji kistaarabu ili wawape sababu za wao kufanya walioyafanya na taarifa wazipeleke serikalini kwa utatuzi kama tunataka haya yasijirudie tena.Tofauti na hapo ni kujidanganya tu.

In short,civil disobedience in our country is around the corner.
 
Hii ni kweli. Kuna gap kubwa linalojionesha, kuna kundi kubwa la vijana ambalo halijui kesho itakuwaje. Kama kuna mtu haoni tatizo yeye pia ni sehemu ya tatizo.

Nimepita mikoa yote Tanzania, nimeona kuna kundi kubwa lililokosa matumaini.

Mathalani kuna baadhi ya maeneo Nchini baada ya biashara ya bodaboda kuingia uhalifu ulipungua, which means kukiwa na sustainable project ya kusaidia Vijana kupata ajira uhalifu wa kivikundi utapungua sana. Just imagine uwanyang"anye biashara ya bodaboda vijana wa Unga limited au Manzese!!!

Hili ni bomu na tumeshauri mara nyingi, hii ya Watu mitaani kunoa mapanga ili kuwakata hawa panya road ni short term solution.
 
Hivi kama hawa huwa wanaishia wapi? au how much does it take to influence to do something evil considering only he know the survival of the fittest. Mtoto keshabakwa, keshatumiwa vya kutosha kwa namna moja ama nyingine, ukute kesha lazimishwa kuiba tayari au kufanya shoplift na hana pa kukimbilia akiwa mdogo, utamwambia nini ukubwani wakati bado fursa hana.

Ingawa serikari inaweza kuwa na majukumu ya asilimia 70% na sisi kama jamii tuna majukumu ya kuwaelimisha marafiki zetu wasio nacho uzazi wa mpango, tuna majukumu ya kuishinikiza serikari kuchukua hatua za kutatua kero, tunamajukumu ya kuchangia taasisi za misaada ili waongeze huduma wanazotoa, tuna majukumu ya kuchagua viongozi wenye muono wa kero za jamii.

It is a matter of time before proper gangs are formed ambapo vijana wanaishi by the code. Si kwamba ni maajabu kwa sababu hali inapofikia pabaya hayo ndio madhara yake.

Kwakweli lazima viongozi wetu wajipime kama kweli changamoto za leo wanaziweza, hata ukiacha hawa watoto wa mtaani hali ya umaskini kwa Tanzania inatisha basi tu wengine utapeli wa hapa na pale kwa ndugu, jamaa na marafiki unapeleka siku.
 
Last edited by a moderator:
Kwa tuliopita Development Studies wakati wa kuchukua digree zetu za kwanza, kwa sasa tunaingia kipindi cha ubepari ambapo kuna a direct class strggle kati ya the haves and the have nots.
Kwa miaka sasa tumeona ubepari mzito mzito ukiingia, na sera nzuri nzuri za kuremba uwekezaji, ili mabepari waweze kufaidika maradufu na fedha zao nchini kwetu.
Na kweli uwekezaji umeingia kwa kasi, na tunaambiwa hata uchumi unakua kwa kasi ya 7%.
Kitu tunachokiona kwa macho ni majengo marefu yanayokua kama uyonga hasa jijini Dsm na miji mingine kama Mwanza.

Hata hivyo kwa upande wa pili, sera za kuwaendeleza wananchi (social participation policies) zimekuwa haziendani na kukua huko kwa uchumi.
Wananchi wa kawaida wanazidi kuachwa nyuma kimapato na haionekani kama wanafaidika sana na maendeleo wanayoyaona.

Kwa sasa ni dhahiri, ruling class imeji align na the bourgeoise(the wealthy class), wakati sera za kuzatiti kundi la wenyeji na wafanyakazi wa hali ya chini(proletariat) zinazidi kutopata kipaumbele kinachohitajika.

Dalili za kupinga mgawanyiko huu kati ya the haves na the have nots, ndo tunapata vijana walio katika extreme end ya the have nots: Panya Road.

Katika hii struggle nguvu ya polisi haitasaidia sana mpaka hapo the have nots nao watakaposhirikishwa katika kufaidika na maendeleo ya jamii.
Mahsusi hili ndio bomu lenyewe ambalo limekuwa likiongekewa kwa miaka sasa kutokana na kutoshughulikiwa na matatizo ya kushirikisha kwa makini matatizo ya wanyonge , hususan vijana katika mipango ya maendeleo.

Mimi sioni mwisho mwema katika hii struggle maana hata wakiwepo kina Kova kumi, vijana wale wasio na kazi wako pake pale.
Suluhisho ni kwa kuanzia tu, ipatikane miradi mikubwa ya maendeleo sehemu zote nchini, itakayo buniwa mahsusi ku ajiri hii idle resource kwa maana ya vijana, ili waweze kuchangia uchumi na vile vile wajipatie kazi, hivyo kutoka katika vikundi vya kihalifu kama Panya Road.

good analysis. Umenikumbusha vyema mambo mengi aliyoyazungumza Karl Marx katika
mode of priduction, Class struggle n.k
kwa mujibu wa Karl Marx vurugu kama za Panya road zinaeleweka vizuri ukiangalia mfumo uzalishaji mali na mgawanyo wa keki ya taifa. Kama mode of production and the distribution of the resources katika nchii itaendelea kuwa hivi ilivyo sasa vikundi kama panya road havikwepek.
Hata ukisoma industrail revolution in British utaviona vikundi vya type ya panya Road.
Nini kifanyike?
Mambo yanayopaswa kufanywa ni mengi lakini la kwanza kabisa ni kuhakikisha utajiri wa nchi unawafaidisha wengi kuliko ilivyo sasa.
Baba wa Taifa alianzisha viwanda nchini pengine ikiwa ni njia ya kutotaka kufika hapa tuliposasa.
 
Huu uzi ungetakiwa uwe na page zaidi ya arobaini....kutokana na hali halisi ya hapa nchini mwetu...Watanzania ni kama tuna mitindio wa ubongo.....bado watu wanajionea sawa tu kwa namna mambo yanavyoendeshwa nchini...wanajionea kuwa umaskini na dhiki zinazotukabili ni mipango ya Mungu..na wameamua kumuachia mungu....wakati Mungu kawapa ufahamu wa kuyatafakali mambo kwa kina.....
Watanzania wengi vichwa vyetu tumevielekeza kwenye mahaba na umbea pekee....huu uzi kama ungekuwa wa mapenzi au unamzungumzia mtu flani sasa hivi ungekuwa kwenye page ya mia na......
Bado tuna safari ndefu sana kuelekea ukombozi wa mtanzania...kibaya zaidi hata mfumo mzima wa elimu yetu inatufanya tuzidi kuwa kama mazezeta kwa kuwa hautupi tafakuli na maarifa ya kujiuliza maswali ya msingi yanayotugusa...zaidi kukariri vya kujibia mtihani na kukabidhiwa vyeti vizuri huku kichwani kukiwa hakuna maarifa.....
MABADILIKO YA NCHI YETU YANAANZA NA MIMI NA WEWE.....
 
Kwa tuliopita Development Studies wakati wa kuchukua digree zetu za kwanza, kwa sasa tunaingia kipindi cha ubepari ambapo kuna a direct class strggle kati ya the haves and the have nots.
Kwa miaka sasa tumeona ubepari mzito mzito ukiingia, na sera nzuri nzuri za kuremba uwekezaji, ili mabepari waweze kufaidika maradufu na fedha zao nchini kwetu.
Na kweli uwekezaji umeingia kwa kasi, na tunaambiwa hata uchumi unakua kwa kasi ya 7%.
Kitu tunachokiona kwa macho ni majengo marefu yanayokua kama uyonga hasa jijini Dsm na miji mingine kama Mwanza.

Hata hivyo kwa upande wa pili, sera za kuwaendeleza wananchi (social participation policies) zimekuwa haziendani na kukua huko kwa uchumi.
Wananchi wa kawaida wanazidi kuachwa nyuma kimapato na haionekani kama wanafaidika sana na maendeleo wanayoyaona.

Kwa sasa ni dhahiri, ruling class imeji align na the bourgeoise(the wealthy class), wakati sera za kuzatiti kundi la wenyeji na wafanyakazi wa hali ya chini(proletariat) zinazidi kutopata kipaumbele kinachohitajika.

Dalili za kupinga mgawanyiko huu kati ya the haves na the have nots, ndo tunapata vijana walio katika extreme end ya the have nots: Panya Road.

Katika hii struggle nguvu ya polisi haitasaidia sana mpaka hapo the have nots nao watakaposhirikishwa katika kufaidika na maendeleo ya jamii.
Mahsusi hili ndio bomu lenyewe ambalo limekuwa likiongekewa kwa miaka sasa kutokana na kutoshughulikiwa na matatizo ya kushirikisha kwa makini matatizo ya wanyonge , hususan vijana katika mipango ya maendeleo.

Mimi sioni mwisho mwema katika hii struggle maana hata wakiwepo kina Kova kumi, vijana wale wasio na kazi wako pake pale.
Suluhisho ni kwa kuanzia tu, ipatikane miradi mikubwa ya maendeleo sehemu zote nchini, itakayo buniwa mahsusi ku ajiri hii idle resource kwa maana ya vijana, ili waweze kuchangia uchumi na vile vile wajipatie kazi, hivyo kutoka katika vikundi vya kihalifu kama Panya Road.
Mmmmm ni kweli.
 
Tatizo wewe binafsi ndio umekuwa meza ya hiari ambayo hawa ma-architect wa huu mfumo wameweka drawing board yao. Hiki unachokiandika ni unafiki na machozi ya mamba kwa panya road.
Matatizo kama tunayoyaona ni lazima yashughilikiwe kisomi.
They must be viewed from the abstract, drawing board ni muhimu maana all the facts na matrix za solutions zinawekwa mezani.
Na ndio maana ya usomi.
 
Huu uzi ungetakiwa uwe na page zaidi ya arobaini....kutokana na hali halisi ya hapa nchini mwetu...Watanzania ni kama tuna mitindio wa ubongo.....bado watu wanajionea sawa tu kwa namna mambo yanavyoendeshwa nchini...wanajionea kuwa umaskini na dhiki zinazotukabili ni mipango ya Mungu..na wameamua kumuachia mungu....wakati Mungu kawapa ufahamu wa kuyatafakali mambo kwa kina.....
Watanzania wengi vichwa vyetu tumevielekeza kwenye mahaba na umbea pekee....huu uzi kama ungekuwa wa mapenzi au unamzungumzia mtu flani sasa hivi ungekuwa kwenye page ya mia na......
Bado tuna safari ndefu sana kuelekea ukombozi wa mtanzania...kibaya zaidi hata mfumo mzima wa elimu yetu inatufanya tuzidi kuwa kama mazezeta kwa kuwa hautupi tafakuli na maarifa ya kujiuliza maswali ya msingi yanayotugusa...zaidi kukariri vya kujibia mtihani na kukabidhiwa vyeti vizuri huku kichwani kukiwa hakuna maarifa.....
MABADILIKO YA NCHI YETU YANAANZA NA MIMI NA WEWE.....
Very true mkuu!!
Inasikitisha kuwa watu hawaendani na utatuzi wa yanayotukabili kitaalam
In actual fact we are sowing the seeds of our own social disharmony.

Mipango yetu haiwafikirii wanyonge the we expect the best!!!!
mipango yetu ya kisiasa na kiuchumi ina matatizo ambayo sasa ni kama ina fuel social conflicts.
 
Back
Top Bottom