The ideal woman

[emoji23][emoji23] kweli kabisa ooh mie sitaki mwanaume mfupi .
Kinachotia moyo ni kwamba watu mnaopenda kujidai kuweka ma vigezo mia kidogo hua mnakuja kuoa maguluguja ambayo hayana hata moja kati ya vigezo hivyo ulivyotaja na maisha yanaenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utaona inafaa wake pia PM haikatazwi ila haikuwa lengo la thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…