Uandishi mzuri keep it upSo kila mtu ana preferences na priorities zake in life.
Kuna vitu ambavyo mtu fulani huona ni vya muhimu lakini visiwe vya muhimu kwa wengine.
Kwangu mimi an ideal woman, encompasses a number of traits.
Feel free to share zile za kwako.
By the way, this has nothing to do with love connect, sio tangazo.
Halafu wale wenye povu, hii sio serious kihivyo. Nitashangaa nikiona povu ila sio mbaya.
1. Smart: asiwe kiazi. A good brain, sio lazima awe masters au PHD holder lakini awe anaweza kuprioritize vitu vya muhimu katika maisha na kuinvest effort huko. Sio wale wa kupenda show off, kupenda kuiga iga. Ajue anachokisimamia na kwa nini anakisimamia.
2. Spiritually strong. Awe anamjua Mungu wake anayemuamini na anamtumikia kweli kweli sio maigizo na wala sio kupumbazwa vile vile.
3. Preferrably a virgin
4. Awe ana uwezo wa kusimama mwenyewe. Sitaki wale wa "Bila wewe siwezi ishi". Get a grip. Have a life have hobbies, have interests in life, have dreams and pursue them. Sio kila muda wewe ni kuniganda ganda tu, chooni twende wote, ukienda sokoni kununua vitunguu twende wote.
5. Mimi sipendi kutoka out kabisa. Siendi bar, wala sehemu watu wanaenda kustarehe. Mpira naangalia kwenye flat screen yangu. Starehe yangu ni movies, books and documentaries na nikitoka nje ni kupiga tizi au church au mishe za hapa na pale kuleta pesa.
Sio lazima awe kama mimi lakini arespect hiyo.
6. Kudeka ni okay ila deka kwa kiasi. Ukizidisha nakuacha (kidding). Kuwa straight forward. Itakuokoa muda na energy. Or else nakuacha hivyo mpaka ujifunze ku-say what you mean and mean what you say.
7. Ajue nafasi ya mume katika nyumba na aiheshimu. Likewise ajue nafasi ya mke na mama katika nyumba na aiheshimu akiact accordingly
8. Awe mkweli. Sipendi uongo aisee. Niambie ukweli hata kama unauma ila don't comfort me with a lie
9. Awe msiri na mwenye kujua kuchagua kipi cha kuongea na nani, wakati upi.
10. Awe mwenye kuridhika
How about you?
Ladies pia mnaweza mkaitwist na kuzungumzia upande wenu
Uzi tayari.
Karibuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mwandiko mbona kama wa kikeeSo kila mtu ana preferences na priorities zake in life.

So kila mtu ana preferences na priorities zake in life.

Maguluguja😅😅😅😅😅Kinachotia moyo ni kwamba watu mnaopenda kujidai kuweka ma vigezo mia kidogo hua mnakuja kuoa maguluguja ambayo hayana hata moja kati ya vigezo hivyo ulivyotaja na maisha yanaenda.
Hongera kwa commentkweli nna usingizi mwanzo nilijua ni mwanamke mpaka sentensi ya mwisho imenibadili mtazamo...samahani mkuu
True sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu Uzi sio serious so msitoe povu.
....ko unamaanisha wadogo zangu wasije pm?[emoji16][emoji16][emoji16] ama ndo vitisho vya no 3?
..... Dunia imebadilika ukute humu kuna 24yrs no 3 ni shida? Wahenga tulikuwaga na nidhamu ya woga[emoji23] ni mwendo wa kuogopa mama atanichapa[emoji16][emoji16]
Kwangu mimi kuna vigezo ambavyo ni mandatory.Kinachotia moyo ni kwamba watu mnaopenda kujidai kuweka ma vigezo mia kidogo hua mnakuja kuoa maguluguja ambayo hayana hata moja kati ya vigezo hivyo ulivyotaja na maisha yanaenda.
Yes mnakaribishwa PM yangu na ya mtoa uzi zipo wazi.
Usijali mkuu. Tuombe uzima tuKwangu mimi kuna vigezo ambavyo ni mandatory.
Ukivikosa hamna ndoa. Ni bora hata nisioe kabisa kuliko kuoa maguluguja.
Kupanga ni kuchagua
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] yako mbona imefungwa nilijaribu janaYes mnakaribishwa PM yangu na ya mtoa uzi zipo wazi.