The "Idea Kilinge"

Kamukhm

JF-Expert Member
Aug 30, 2015
2,799
4,196
Natamani kuona JF kukianzishwa Jukwaa la kushare Ideas. Ninapenda kufikiria Sana na mara nyingi huja na mawazo mazuri tu japo huwezi kusema hayahitaji maboresho.

Lengo la kuanzisha Uzi huu ni kutafuta namna Bora watu wenye Mawazo wanaweza kuyafikisha kwa watu wenye uwezo wa kuyafanyia utekelezaji.

Umri umeenda na najua kupambana na Wazo, hasa kubwa; kwenye utekelezaji. Inaweza kukuchukua miaka mingi. Na ukaisgia kutekeleza moja katika mia ya Mawazo yako.

Nilichokisema awali juu ya JF kinaweza tu kutupa jukwaa, lakini Kipi kifanyike!? Hapo ndipo pa mjadala mpana
 
Back
Top Bottom