The Huricane

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,368
Reaction score
6,874
Oohh..leo nimepata muda kidogo asubuhi hii.
Nimeutumia muda wangu wa masaa mawili kutazama movie ya The Huricane iliyoigizwa na mwigizaji maarufu Denzel W..Hii ni movie ya maisha ya aliyekuwa mwanamasumbwi wa uzito wa kati maarufu Huricane Carter miaka ya 1960s.
Inaelezea maisha ya ubaguzi wa rangi uliopelekea Carter kuhukumiwa kifungo cha maisha jela kwa ushahidi wa kubumba. Baada ya kukaa gerezani kwa miaka zaidi ya ishirini alikuja kutoka jela baada ya marafiki zake kupambania haki yake.
Ni movie mzuri kuitazama kwa ajili ya kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…