The HSPs (Highly Sensitive Persons)

Jipende ulivyo, wala usione kuwa ni tatizo maana wengi hawawezi kukuelewa, jielewe mwenyewe.

Uko sahihi kabisa, HSPs na pombe ni tofauti kabisa, kulewa kwao ni kero.

Vipi kwenye mahusiano?
 
Jipende ulivyo, wala usione kuwa ni tatizo maana wengi hawawezi kukuelewa, jielewe mwenyewe.

Uko sahihi kabisa, HSPs na pombe ni tofauti kabisa, kulewa kwao ni kero.

Vipi kwenye mahusiano?
Kwenye mahusiano jamani nikipenda mtu napenda kweli, nazama mzima mzima, napenda mwanaume awe amenizidi umri, muda wote nataka niwe karibu na mpenzi wangu, hata kama akiwa mbali mawasiliano yawe ya karibu, kiufupi nikicheat ujue maji yamenifika shingoni maana naonaga kama siutendei haki moyo wangu. Kiufupi mpenzi wangu ndio rafiki yangu ambae atleast we can joke na mambo mengine, napenda mtu anielewe aelewe nini napenda na nini sipendi hapo tutakuwa na furaha muda wote
 
Yup unatamani kuwa kwenye relationship lakini ukitazama around unaona hakuna mtu unaweza kuconnect naye.

FYI HSPs huwa wanakuwa na mahusiano machache sana ktk maisha yao ukilinganisha na watu wengine.
Nina hilo tatizo
Relationship ni kitu complex sana kwangu,nna feelings kali sana na huwa napenda kweli ninapokuwa kwenye mahusiano huwa naumia kwa vitu vidogo sana,huwa nna fights nying kwenye mahusiano mana nataka mpenz wangu awe vile nnavyotaka mim
Kitu chengine,Sipendi kuumiza mwengine unaweza kuta mtu anaonesha kabisa nia ya kuwa na mim lakin namuonea huruma sana kwa kuhisi ntakuja kumuumiza baadae japo my friends huwa wananiona kama mjinga flani napata mtelezo lakini siutumii
 
Ni zaidi ya kupenda, kunakuwa na connection (bond) na huyo mtu ya mwili, nafsi na roho.
 
Yani nakuelewa kabisa. Mahusiano kwetu ni changamoto.
 
Ni kweli kabisa ata kwangu wengi husema ivo, lakini ndo maisha halisi ninayo yapenda.
 
I saw myself after reading this! Never thought two different people could be very much alike
 
Je hupendi mtu ajisikie vibaya kwa sababu yako? Hupendi kuudhi watu?

Je unakuwa na wasiwasi wa kufanya maamuzi ambayo si sahihi?


Huwa nina hizi tabia. Sikujua kama ni tabia za HSP

Ni juzi tu nilikuwa najitafakari kuwa nifanyeje kuhusu tabia yangu. Yaani hata vikundi vingi najitoa nikiona watu wanakwazana au siyo waelewa. Nikiona watu wanagombana najisikia vibaya kiasi kwamba natamani kuwa mbali nao. Sipendi mtu aninyanyase na mimi simnyanyasi mtu.

I live my life. Na siyo kwamba nina vitu...mali...oh no...nilichonacho ndo ninachofurahia. Huwa sishindani na mtu...hata ununue au ufanye nini...moyo wangu haufadhaiki eti kwa kuwa sina. I enjoy being me...living my life.

Am I HSP?
 
I understand the situation
 
Nahisi hizo traits kama ninazo hivi .......

Yaani huwa perfect nikipresent kitu mbele ya hadhara lakini when it comes to my personal life....
Sipendi kuingiliana sana na watu wengi yaani napenda kukaa peke yangu maana nikiongea na watu huwa naona kama ninapoteza muda kwa kuwa huwa nawaona kama watu wasioniongezea chochote katika maisha yangu ... ...

Alafu hiki kitu ninacho Mimi tu katika familia nzima na ilinipa shida katika makuzi yangu....

Nikikutana na watu wa aina yangu huwa ni rahisi kuwa marafiki kuliko watu wa kawaida ......
 
Kwa kweli siwezi kusema moja kwa moja kuwa wewe ni HSP au la. Cha muhimu fanya utafiti kuhusu tabia za HSPs (zipo nyingi) then utajipima uone kama upo kwenye hilo kundi ama la.

Kuna issues nyingi za hawa wangu, nyingine sijazigusia kabisa.
 


It used to be very difficult and costed me my first crush! But then I learned to ballance 'my world' with 'our world'! Not easy but there's no way out If 'you want to live' .......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…