The History of Microsoft Windows Operating System

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,083
1985 Windows 1.0
The First Version of Microsoft Windows, Windows 1.0, with simple applications and the concept of multitasking on PC

1987 Windows 2.0
The Second Version of Windows, Windows 2.0 with some fixes and the Control Panel.

1988 Windows 2.1
The Second Version of Windows with some additions, and some fixes, Windows 2.1, the Paint software is seen in this

1990 Windows 3.0
The Third Version of Windows, Windows 3.0, featuring the File Manager and Program Manager, replacing the old MS DOS based File and Program Managers.

1992 Windows 3.1
The later released upgraded version of Windows 3.0, which had support for 32-bit Disk Access, Personalization options and had the Minesweeper game for the first time.

1995 Windows 95
Windows 95, the changed look, the new interface and the beginning of the form of Windows which we see now. Enhanced Graphics and better Communication Programs.

1998 Windows 98
Windows 98, one of the most successful versions of Windows till now, this version of Windows can still be seen in some PCs even today. With Extended Softwares, better Performance, this Version was the first milestone in the path of the development of Windows.

2000 Windows ME
Windows ME or Windows Millenium Edition, though not a very popular version of Windows, but still it had some better tools and performance than the previous ones in some cases.

2001 Windows XP
Windows XP, the Daddy of all versions of Windows, the most popular version of windows even today. Windows XP is still used today because of its unmatched performance, tools and interface. This has been the best version of Windows till the arrival of Windows 7.

2006 Windows Vista
Windows Vista, though it didn’t go so well in the public, but still its a good version of Windows specially for the interface the Windows Aero™ Effect, making the Window Transparency work like magic.

2009 Windows 7
Windows 7, the best version of Windows till date. With the new and advanced features such as the Superbar, this version of Windows created another milestone for Microsoft after Windows 98 and Windows XP. Windows 7 features an unbeatable user interface, and powerful tools that makes it the best among the rest.

2012 Windows 8

Windows 8, to be released in the late 2012. The interface of Windows 8 as seen at the D9 Conference. A better version of Windows as proposed by Microsoft, with the changed User Interface.

Ni ipi inayokuvutia wewe ? Mimi Nimechaguwa Windows XP je wewe Mwenangu umechagua ipi?
 
windows ya kwanza kuitumia windows 95, by that time tayari nilikuwa nshaanza utundu wa kuchezea kompyuta, mpk leo nna windows8 bbado nimo tu
 
windows ya kwanza kuitumia windows 95, by that time tayari nilikuwa nshaanza utundu wa kuchezea kompyuta, mpk leo nna windows8 bbado nimo tu
Wewe Bado una Windows 8 lakini haijatoka yenyewe Orignal? uliitumia hiyo Windows 95 ulikuwa una miaka mingapi?Mkuu.@C6
 
Wewe Bado una Windows 8 lakini haijatoka yenyewe Orignal? uliitumia hiyo Windows 95 ulikuwa una miaka mingapi?Mkuu.@C6
sikuanza kuitumia mwaka 95 nilitumia nikiwa na miaka kumi na kitu sikumbuki exactly but nilikuwa mdogo, uncle wangu alikuwa anapenda sana niwe mtaalamu wa haya madude yeye ndo alinipa pc yangu ya kwanza , pia alinipa vitabu nijifunze excel, word, publisher etc, wakati huo tulikuwa tunacheza game za super mario

windows 8 consumer preview ndo natumia ila sasa ivi nadownload windows 8 rtm
attachment.php
 
Attachments

  • ScreenShot038.jpg
    ScreenShot038.jpg
    98 KB · Views: 155
C6 hizo torrent files zote.. KAH!!
mi nilianza na DOS nikahamia 95->98 and so on. nimetumia every single MS lakini sijaipenda 8 kama vile tu sikuipenda Vista au ME. huwa siangali nyuma, na basi nina 7 na 8 pekee
 
Last edited by a moderator:
sikuanza kuitumia mwaka 95 nilitumia nikiwa na miaka kumi na kitu sikumbuki exactly but nilikuwa mdogo, uncle wangu alikuwa anapenda sana niwe mtaalamu wa haya madude yeye ndo alinipa pc yangu ya kwanza , pia alinipa vitabu nijifunze excel, word, publisher etc, wakati huo tulikuwa tunacheza game za super mario

windows 8 consumer preview ndo natumia ila sasa ivi nadownload windows 8 rtm
attachment.php

Mh! Hv hyo Ted ndo muvi ya lile doli
 
MziziMkavu uwezi amini nilipenda kutumia windows 98 kuliko 2000, windows xp ndo most stable windows imewahi tengenezwa, that was my favorite, windows vista was flop ndo maana wakaireplace na seven haraka haraka, hii windows 8 naona wameidesign kwa ajili tablet na touch devices, sisi wenye pc tunalazimisha tu, maana kla menu unaona neno "tap to.."
 
Last edited by a moderator:
sikuanza kuitumia mwaka 95 nilitumia nikiwa na miaka kumi na kitu sikumbuki exactly but nilikuwa mdogo, uncle wangu alikuwa anapenda sana niwe mtaalamu wa haya madude yeye ndo alinipa pc yangu ya kwanza , pia alinipa vitabu nijifunze excel, word, publisher etc, wakati huo tulikuwa tunacheza game za super mario

windows 8 consumer preview ndo natumia ila sasa ivi nadownload windows 8 rtm
attachment.php
Mwana nimekukubali nami nimeanza kuushusha sasa hivi...haa haa haaa
Screenshot_2012-09-14-12-33-12.jpg
 
Dah, umenikumbusha mbali sana ndugu yangu. Mimi nilianzia win 95 ila 3.0 na DOS nilikua nazionaona kiasi. Kilichonifurahisha ni disk spaces tulizokua tunatumia enzi zile. Ukiwa na 100 MB unainstall program zako zote na chenji inabaki kubwa tu..!
Mimi naamini kabisa asilimia 80 ya ofisi za kawaida bongo tungeweza kuendelea kutumia Win 98 na 2GB hdd hadi leo bila shida yoyote ile!
Masikini watoto wetu hawatapata bahati ya kutumia "floppy"!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom