The Hajj and Eid al-Adha Photoes around the world.....

Fujo

Fujo zaidi

Fujo tena

Fujo , fujo

Nlikuwa nimepanga niwaalike
kwenye Sherehe itakayofana kwenye ukumbi
wa saba saba arusha... lakini sasa mmmmhhh
naona fujo zimezidi....

Khaaa! kwa niaba ya hii internet cafe nilokuwepo ambayo inachaji nusu saa buku naomba niombe razi!
hakyababu sirudii tena.
 
Khaaa! kwa niaba ya hii internet cafe nilokuwepo ambayo inachaji nusu saa buku naomba niombe razi!
hakyababu sirudii tena.

hahahahahahaha lohhh
wewe embu acha kunichekesha
umeanzaa aee.. sasa hata hukuni karibisha
naona unanitafutia tu wachumba khaaa..
 
hahahahahahaha lohhh
wewe embu acha kunichekesha
umeanzaa aee.. sasa hata hukuni karibisha
naona unanitafutia tu wachumba khaaa..

hehehe kile kibanda changu kimepigwa na mafuriko aisee! mie mwenyewe nimekula sikukuu mama ntilie leo! balaa tupu walahi!
hapa nipo mitaani nasubiria mlevi adondoke niondoke na wallet
 
hehehe kile kibanda changu kimepigwa na mafuriko aisee! mie mwenyewe nimekula sikukuu mama ntilie leo! balaa tupu walahi!
hapa nipo mitaani nasubiria mlevi adondoke niondoke na wallet

hahahahahahah loohh
karibu kwangu basi kwani yule
jirani yako yuko wapi alikuwa anakupa free kila kitu
mpaka internet...lol..
 
Back
Top Bottom